Mbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania - E-book - ePub

Marwa

Note moyenne 
 Marwa - Mbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania.
Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ni moja ya wanamuziki nyota kuwahi kutokea Tanzania. Mwanamuziki huyu alikuwa na kipaji kikubwa cha kupiga gitaa la solo, ala... Lire la suite
3,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ni moja ya wanamuziki nyota kuwahi kutokea Tanzania. Mwanamuziki huyu alikuwa na kipaji kikubwa cha kupiga gitaa la solo, ala zingine, kutunga na kuimba. Kutokana na utunzi wake wa nyimbo za kusisimua, alijizolea wapenzi wengi wa muziki Afrika Mashariki na ya kati, akipiga zaidi muziki wa mtindo wa rumba, mtindo ambao asili yake ni kutoka Cuba na nchi zingine za Marekani ya kusini.
Katika uhai wake, alishiriki kupiga muziki katika bendi za Morogoro jazz na Super Volcano zote za mjini Morogoro. Kitabu hiki Kinaanza kwa kuelezea kuingia kwa muziki wa rumba toka Cuba wakati huo Tanganyika na kuenea kwake, kinajikita zaidi kuelezea mchango wa mwanamuziki Mbaraka Mwinshehe Mwaruka, katika kuundeleza na kuimarisha muziki huu wa rumba, kama sehemu ya juhudi za kuinua utamaduni wa taifa jipya la Tanzania na changamoto alizopitia.

Caractéristiques

  • Date de parution
    22/12/2023
  • Editeur
  • ISBN
    8223838692
  • EAN
    9798223838692
  • Format
    ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

3,99 €