Popote Ulipo - E-book - ePub

Note moyenne 
 Hassan Mambosasa - Popote Ulipo.
  Ajali mbili zinatokea kwenye majira tofauti, zote zikiondoka na maisha ya watumishi wa umma kutoka taasisi ambazo zina ukaribu kwenye ufanyaji kazi.... Lire la suite
2,99 € E-book - ePub
Vous pouvez lire cet ebook sur les supports de lecture suivants :
Téléchargement immédiat
Dès validation de votre commande
Offrir maintenant
Ou planifier dans votre panier

Résumé

  Ajali mbili zinatokea kwenye majira tofauti, zote zikiondoka na maisha ya watumishi wa umma kutoka taasisi ambazo zina ukaribu kwenye ufanyaji kazi. Baada ya tukio hilo kunafuatia kutangazwa ufisadi uliyowahusu watumishi wao. Ikielezwa walipanga uhaini mkubwa, na walichota kiasi kikubwa cha pesa za serikali.    Mmoja ilielezwa alifikwa na ajali akiwa  mafichoni mbugani alipofika kama mtalii. Mwingine ikitajwa alikuwa akikimbia kuelekea kujificha, ndiyo hapo alifikwa na mauti akiwa njiani.
Ikawa habari iliyoshika hisia za wengi, kiasi cha kuibua wanaharakati na watu wa mitandaoni baada ya kuachiwa makala toka kwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi.    Suala hilo lilimvutia Norbert Kaila baada ya kuona lilikuwa likihusu ubadhirifu, alitaka kufanya utafiti na kuweka kila kitu wazi. Alipoingia kwenye kazi hiyo, ndiyo hapo alikuja kukutana na mengine ambayo hakuyajua. Mchezo mchafu ukihusisha mfanyabiashara na watumishi wa taasisi zile za wafanyakazi wale.

Caractéristiques

  • Date de parution
    10/03/2024
  • Editeur
  • ISBN
    8224449101
  • EAN
    9798224449101
  • Format
    ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num.
      pas de protection

Avis libraires et clients

Avis audio

Écoutez ce qu'en disent nos libraires !

À propos de l'auteur

Biographie de Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 

Souvent acheté ensemble

Vous aimerez aussi

Derniers produits consultés

Popote Ulipo est également présent dans les rayons

2,99 €